Mafunzo kwa ajili ya uboreshaji Tovuti za serikali kwa Maafisa Habari na Maafisa TEHAMA yanaendelea katika kituo cha Mtwara. Mafunzo haya ambayo yanajumuisha mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma yamelenga kuhakikisha maafisa husika wanatoka wakiwa wamepata elimu ya kutosha kuhusu namna ya uboreshaji tovuti.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.