• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Lindi Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Lindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Sehemu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Menejimenti ya Serikali za Mtaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Kilwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Lindi
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Liwale
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Nachingwea
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
    • Ruangwa
      • Historia ya Wilaya
      • Uongozi wa Wilaya
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa
    • Halmashauri ya Manispaa ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Lindi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Liwale
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Jarida
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

ZAIDI YA MIL 800 ZATOLEWA MIKOPO YA 10% KWA VIJANA, WANAWAKE NA WALEMAVU WILAYANI NACHINGWEA

Posted on: February 6th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea kwa kushirikiana na Halmashauri hiyo ameendesha hafla fupi ya utowaji mikopo ya 10% ya mapato ya Halmashauri kwa vikundi vya Wanawake, Vjana na Watu wenye ulemavu, mikopo hiyo ni Shilingi Milioni 800, zoezi hilo limefanyika katika viwanja wa Shule ya Msingi Majengo.


Mhe. Moyo amewataka viongozi wa Wilaya na Halmashauri kuhakikisha kanuni za utoaji mikopo zinazingatiwa na mikopo inasambazwa kwa haki na kwa wakati ili kutimiza lengo la Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Daktari Samia Suluhu Hassan ya kuwakwamua vijana, wanawake na watu wenye ulemavu kutoka katika umasikini.


Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea ndugu Joshua Mnyang'ali amesema kuwa vikundi 33 vya wanawake vimepata Shilingi Milioni 365, vikundi 22 vya vijana vimepata Milioni 375 na vikundi 5 vya walemavu vimepata Milioni 60 pia,  amesisitiza kuwa usimamizi wa mikopo unahitaji juhudi za pamoja ili kuhakikisha mikopo inasambazwa vizuri na inarejeshwa kwa wakati


Nae, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea Mhe. Adinan Mpyagila, amewasihi wanufaika kutumia mikopo hiyo kama ilivyokusudiwa na kurejesha kwa wakati ili watakaoomba kwa awamu zijazo waweze kupata kwa wakati.


Aidha, Wanufaika wa mikopo hiyo Hadja Saidi Ng'ombo  Katibu wa kikundi cha Chikumbila Kata ya Marambo.

Brigta Andrea Mwenyekiti wa Bry Toto food point.Mfaume Hassan Namkaa Mwenyekiti Kikundi cha Amu Agro Business.

Mwenyekiti wa kikundi cha walemavu  msichoke


 wameishukuru serikali kwa kuwawezesha na wameahidi kurejesha mikopo kwa wakati ili kutoa fursa kwa wengine kunufaika.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALI0CHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021-MKOA WA LINDI March 29, 2021
  • Vitabu vya kalenda za utekelezaji wa mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi na Sekondari February 08, 2022
  • FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO KWA MKOA WA LINDI 2022 May 09, 2022
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA MKOA WA LINDI (JOINING INSTRUCTIONS) December 16, 2020
  • tazama zote

Habari Mpya

  • JAMII NA WAZAZI WATAKIA KURUDI KUBEBA JUKUMU LA MALEZI KWA WATOTO

    May 03, 2025
  • MKUU WA MKOA WA LINDI AONGOZA KIKAO CHA LISHE NGAZI YA MKOA

    May 03, 2025
  • MHE. TELACK AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ELIMU MKOA WA LINDI KWA MWAKA 2025

    May 02, 2025
  • RC TELACK AKABIDHI TUZO ZA ELIMU KWA WALIMU,WANAFUNZI NA HALMASHAURI ZILIZOFANYA VIZURI MKOANI LINDI.

    May 02, 2025
  • tazama zote

Video

CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO YA CHAMA CHAO MAPEMA ILI KUWAPA UTULIVU WANACHAMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal
  • Kilwa District Council
  • Nachingwea Disctrict Council
  • Ruangwa District Council
  • Liwale District Council
  • Lindi Municipal
  • Lindi District Council

Kurasa mashuhuri

  • Public Procurement Reguratory Authority
  • Tamisemi
  • e-Government Agency
  • Watumishi Portal
  • Sekretarieti ya ajira
  • CWT WASHAURIWA KUMALIZA MIGOGORO ILI WANACHAMA WAPATE UTULIVU

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi

    Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi

    Simu: 023-220-2098

    Rununu:

    Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.