Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi kabla ya kufungua Jukwaa la tisa la Fursa za Biashara na Uwekezaji mkoani humo jana. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe akipiga makofi sambamba na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi kabla ya kufungua Jukwaa la tisa la Fursa za Biashara na Uwekezaji mkoani humo jana.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe akizungumza na washiriki wa Jukwaa la Fursa za Biashara na Uwekezaji mkoani Lindi linaloandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa kushirikiana na Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN).
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe (katikati) akitazama bidhaa za mikono za wajasiriamali wa mkoa wa Lindi wakati akitembelea mabanda ya maonyesho katika Jukwaa la Fursa za Kibiashara na Uwekezaji mkoani Lindi. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na Mbunge wa Lindi Mjini, Hassan Kaunje.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Hab Mkwizu akizungumza na washiriki wa Jukwaa la Fursa za Kibiashara na Uwekezaji mkoani Lindi linaloandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa kushirikiana na TSN.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akikagua ubanguaji wa korosho kutoka kwa wajasiriamali wa bidhaa hiyo alipokuwa akikagua mabanda ya Maonyesho katika Jukwaa la Fursa za Kibiashara na Uwekezaji mkoani Lindi. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi.
Wakuu wa Wilaya za mkoa wa Lindi (kutoka kushoto) Mkuu wa wilaya ya Kilwa, Christopher Ngubiagai, Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim Mgandilwa na Mkuu wa wilaya ya Liwale, Sarah Chiwamba wakiungana na washiriki wengine wa Jukwaa la Fursa za Kibiashara na Uwekezaji mkoani Lindi.
Wananchi wakitembelea mabanda ya Maonyesho ya Jukwaa la Fursa za Uwekezaji mkoani Lindi jana.
Kaimu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Tuma Abdallah akizungumza na washiriki wa Jukwaa la Fursa za Kibiashara na Uwekezaji mkoani Lindi.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi (kulia) kutembelea mabanda ya Maonyesho ya Jukwaa la Fursa za Kibiashara na Uwekezaji mkoani Lindi.
Mwekezaji rais wa Marekani, Dkt. Marie Asher Baptiste (kulia) akizungumza na washiriki wa Jukwaa la Fursa za Kibiashara na Uwekezaji mkoani Lindi. Kushoto kwake ni mkalimani, Veronica Swai.
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Lindi, Hamida Abdallah wakati wa Jukwaa la Fursa za Uwekezaji mkoani Lindi.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akimsikiliza ofisa wa madini mkoa wa Lindi akielezea kuhusu madini mbalimbali yanayochimbwa mkoani humo wakati wa Jukwaa la Fursa za Kibiashara na Uwekezaji mkoani Lindi.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa (kulia kwake) kukagua bidhaa mbalimbali za mikono zinazozalishwa na wajasiriamali, katika Jukwaa la Fursa za Uwekezaji mkoani Lindi.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Mratibu wa Matoleo Maalum wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Dativa Minja, wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye Jukwaa la Fursa za Kibiashara na Uwekezaji, mkoani Lindi. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akitembelea mabanda ya maonyesho ya Jukwaa la Fursa za Biashara na Uwekezaji mkoani Lindi.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe akizungumza na mmoja wa wakulima wadogo wa mboga na matunda katika mkoa wa Lindi wakati akikagua mabanda ya Maonyesho katika Jukwaa la Fursa za Biashara na Uwekezaji mkoani Lindi.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa (kulia kwake) kukagua bidhaa mbalimbali za mikono zinazozalishwa na wajasiriamali, katika Jukwaa la Fursa za Uwekezaji mkoani Lindi.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa akizungumza na washiriki wa Jukwaa la Fursa za Biashara na Uwekezaji lililofanyika Lindi.
Wadhamini mbalimbali wa Jukwaa la Fursa za Biashara na Uwekezaji wakiimba wimbo wa kuitukuza Tanzania wakati wa ufunguzi wa Jukwaa la Fursa za Biashara na Uwekezaji mkoani Lindi.
Afisa Uhusiano TANESCO Mkoa wa Lindi, Ndg. Francis Mbelwa akielezea huduma mbalimbali wanazotoa kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe alipotembelea Banda la TANESCO wakati wa Jukwaa la Fursa za Kibiashara na Uwekezaji mkoa wa Lindi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekaji Tanzania (TIC) Geoffrey Mwambe akizungumza na washiriki wa Jukwaa la Fursa za Biashara na Uwekezaji mkoani Lindi.
Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Lindi wakifuatilia kwa makini mijadala mbalimbali wakati wa Jukwaa la Fursa za Biashara na Uwekezaji mkoani humo.
Washiriki wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji mkoani Lindi wakifuatilia kwa makini mijadala mbalimbali iliyokuwa ikiwasilishwa kwenye jukwaa hilo.
Washiriki wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji mkoani Lindi wakifuatilia kwa makini mijadala mbalimbali iliyokuwa ikiwasilishwa kwenye jukwaa hilo .
Washiriki wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji mkoani Lindi wakifuatilia kwa makini mijadala mbalimbali iliyokuwa ikiwasilishwa kwenye jukwaa hilo .
Washiriki wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji mkoani Lindi wakifuatilia kwa makini mijadala mbalimbali iliyokuwa ikiwasilishwa kwenye jukwaa hilo.
Washiriki wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji mkoani Lindi wakifuatilia kwa makini mijadala mbalimbali iliyokuwa ikiwasilishwa kwenye jukwaa hilo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (wa tatu kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi (kulia kwake), Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Hab Mkwizu, Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu na viongozi wengine mbalimbali wa Serikali wakiimba wimbo maalum wakati wa ufunguzi wa Jukwaa la Fursa za Biashara na Uwekezaji mkoani Lindi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.