Lindi yatoa eneo kwa ajili ya ujenzi wa Tawi la Chuo Kikuu cha Taifa cha Usafirishaji. Chuo hiki kitakuwa kinatoa kozi za elimu zinazohusiana na masomo ya bahari (Maritime Studies).
Mwakilishi wa Katibu Tawala Mkoa, KatibuTawala Msaidizi-Utawala na Rasilimali Watu, Dkt. Bora Haule akifungua mafunzo kwa watumishi wa serikali za mitaa kuhusu mradi wa kuboresha upatikanaji wa haki kwa wote hususani wanawake yaliyofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo tarehe 7 Januari, 2019.
Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi wapanda miti 100 ya matunda na kivuli katika eneo la ofisi tarehe 29 decemba 2018 lengo likiwa ni utunzaji wa mazingira na uhamasishaji jamii na taasisi mbalimbali kupanda miti katika maeneo yao. Lengo la mkoa ni kupanda miti milioni 2 ambayo itakuwa ikipandwa katika awamu tofauti.
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.