Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi azungumza na wadau wa sheria Mkoa wa Lindi katika kilele cha siku ya sheria duniani, ambapo kabla ya kuzungumza alipata maelezo ya shughuli za mahakama kutoka kwa Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mhe. Allu O. Nzowa.
Mhe. Zambi awapongeza wananchi wa Kijiji cha Mtakuja kwa kujitokeza kwa wingi siku ya kwanza ya zoezi la uandikishaji vitambilisho vya Taifa (NIDA) baada ya kupata maelezo toka kwa msimamizi wa uandikishaji Wilaya ya Ruangwa, Ndg. Khalaf Mwalimu.
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.