EQUIP-Tanzania inasaidia serikali ya Tanzania kuongeza ubora wa matokeo ya ujifunzaji kwenye shule za msingi, hasa kwa wasichana. Inajikita kwenye mfumo maalumu wa uboreshaji unaozingatia gharama ambazo zinaleta mabadiliko kwa njia ambazo zinaweza kutumiwa nchi nzima. Utekelezaji wa mpango ulianza mwaka 2014 kwa mikoa mitano na baadae mikoa saba (Shinyanga, Simiyu, Kigoma, Lindi, Mara, Dodoma, Tabora). Baadae mwaka 2017, mikoa mingine miwili Zaidi ikaongezwa (Singida, and Katavi), ambapo kwa pamoja inaleta jumla ya shule zaidi ya 5000 na wanafunzi milioni 2.3.
Bofya hapo chini kupata taarifa kamili >>>>>
Maelezo kuhusu EQUIP-Tanzania.pdf
MWONGOZO WA MACHAPISHO NA VIDEO ZA KUSOMA, KUANDIKA NA HESABU KWA WALIMU.pdf
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.