Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Mhe. Shaibu Ndemanga akimkabidi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Mhe. Hashim Mgandilwa tarehe 09 Oktoba, 2019.
Katibu Tawala Mkoa wa Lindi, Bi. Rehema Madenge amewataka wasimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa kuhakikisha wanasimamia uchaguzi kwa kuzingatia kiapo, sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa.
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.