Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi wapanda miti 100 ya matunda na kivuli katika eneo la ofisi tarehe 29 decemba 2018 lengo likiwa ni utunzaji wa mazingira na uhamasishaji jamii na taasisi mbalimbali kupanda miti katika maeneo yao. Lengo la mkoa ni kupanda miti milioni 2 ambayo itakuwa ikipandwa katika awamu tofauti.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey W. Zambi na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wazungumzia suala la malipo ya korosho kwa wakulima.
Kiwanda cha kubangua korosho cha BUCO kimekabidhiwa na Mkuu na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi leo tar. 14 Nov, 2018 kwa JKT kwa ajili ya kukiendesha baada ya kutofanyakazi kwa muda mrefu.
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.