Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Lindi, Majid Myao ametangaza orodha ya wanafunzi waliobakia waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2020 - Mkoa wa Lindi ambao watatakiwa kujiunga na wenzao waliotangazwa mwazo shule zitakapofunguliwa Januari 06, 2020.
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Lindi, Dkt. Bora Haule amefungua kikao cha maabara ya elimu mkoa na kuwataka washiriki kujadili changamoto, mafanikio na mikakati ya kunyanyua ufaulu katika mkoa
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.