Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Joseph Kakunda pamoja na Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Innocent Lugabashungwa wamefanya ziara ya kikazi mkoani Lindi kwa lengo la kuja kuyasimamia maelekezo yaliyotolewa na Mhe. Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu ununuzi wa zao la korosho.
Ziara ya Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso Mkoani Lindi alipotembele Mradi wa Maji wa Ng'apa uliopo Manispaa ya Lindi tarehe 24 Agosti 2018.
Mambo yaliyozungumzwa baada ya Mhe. Zambi kuzungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Kampuni ya Equinor Tanzania, Dkt. Mette Halvorsen Ottoy
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.