Mkuu wa mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi ameagiza kuchukuliwa hatua kwa baadhi ya kampuni zinazofanya biashara ya fedha kwa sababu ya kutofuata taratibu.
Mkuu wa mkoa wa Lindi ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Nachingwea kwa kutoa mafunzo kwa vikundi kazi vya wanawake na vijana kuhusu utengenezaji wa barabara.
Mkuu wa mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi amezuia uchimbaji wa dhahabu katika kijiji cha Mpiruka B wilayani Nachingweakutokana na taratibu zinazotakiwa kutofuatwa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.