Katibu Tawala Mkoa wa Lindi, Rehema Madenge amewataka viongozi wa wilaya ya Kilwa na wananchi kushirikiana ili kumaliza tatizo la mimba za utotoni. Bi. Madenge aliyasema hayo katika kikao cha baraza maalum la madiwani la kujadili hoja za ukaguzi wilayani Kilwa baada ya Mkuu wa Wilaya, Mhe. Christopher Ngubiagai kuelezea tatizo la mimba za utotoni.
Wito huo ameutoa wakati akifunga Semina ya Uraghibishi na Uhamasishaji kwa viongozi wa halmashauri na mkoa wa Lindi kuhusu Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele. Magonjwa hayo ni pamoja na Matende, Mabusha, Minyoo na Kichocho. Semina hii iliwahusisha Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, REO, RMO, Mwakilishi wa Wizara ya Afya, Shirika la Ima World Health, Waratibu wa NTD, Waratibu wa Afya Shuleni,
Yaliyosemwa na Mhe Zambi katika kilele cha maadhimisho ya Juma la Elimu Mkoa wa Lindi kilichofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mpilipili tarehe 12 Aprili, 2019.
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.