Hayo yamesemwa na Mhandisi. Nyamhanga, Katibu Mkuu, OR- TAMISEMI wakati alipofanya ziara ya kukagua ujenzi wa lami kilomita moja kwenya barabara ya Nyengedi - Rondo.
Shule hii shikizi iliyojengwa kwenye kitongoji cha Mbate imejengwa kutokana na changamoto ya watoto wadogo kutembea umbali mrefu kwenda kwenye shule ya msingi ya Migeregere iliyopo kilomita 10 toka katika kitongoji hicho. Shule hii imejengwa kwa ufadhili wa Pan African Energy kwa kushirikiana na halmashauri ya wilaya ya Kilwa.
Mhandisi. Joseph Nyamhanga, Katibu Mkuu, OR - TAMISEMI amefanya ziara ya kikazi mkoani Lindi ambapo alianza kwa kukagua ujenzi wa hospitali ya wilaya inayojengwa katika kijiji cha Kiwalala H/W ya Lindi.
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.