Viongozi wazungumza wakati wa utangazaji wa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2020 kwa mkoa wa Lindi.
Katibu Tawala Mkoa wa Lindi, Bi. Rehema Madenge ametangaza wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza 2020 na kutoa maelekezo kwa halmashauri ambazo zinaupungufu wa madarasa.
Katibu Tawala Mkoa wa Lindi, Bi. Rehema Madenge ametembelea eneo la Tendaguru ambalo alitokea mjusi mkubwa anayejulikana kwa jina la Dinasoria ambaye baada ya mabaki yake yaliyouchimbuliwa yalipelekwa katika makumbusho nchini Ujerumani. Bi. Madenge amesema malengo ya mkoa ni kulifanya eneo hilo kuwa moja ya eneo la vivutio vya utalii ambapo amewahamasisha wawekezaji kuwekeza katika eneo hilo.
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.