Makala fupi ya uzinduzi wa Kampeni ya Upasuaji Mabusha katika Mkoa wa Lindi na Pwani uliofanyika katika uwanja wa Maulidi wilayani Nachingwea mkoa wa Lindi.
Dkt. Leonard Subi, Mkurugenzi wa huduma za Kinga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto akiongea na baadhi ya wajumbe wa RHMT na CHMT wilayani Nachingwea mkoa wa Lindi.
Bi. Rehema Madenge, Katibu Tawala Mkoa wa Lindi amefungua mafunzo ya watendaji wa kata kuhusu haki za binadamu na upatikanaji wa haki kisheria
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.