Tazama kipindi cha tunatekeleza kinachorushwa na TBC1 ambapo Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi akielezea shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na serikali.
Makala Fupi ya kumbukumbu ya tukio la moto lililotokea tarehe 10 Julai, 2016 katika Shule ya Sekondari Lindi.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi azungumza na wadau wa sheria Mkoa wa Lindi katika kilele cha siku ya sheria duniani, ambapo kabla ya kuzungumza alipata maelezo ya shughuli za mahakama kutoka kwa Hakimu Mkazi Mfawidhi, Mhe. Allu O. Nzowa.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Lindi
Sanduku la Posta: P.o Box 1054 Lindi
Simu: 023-220-2098
Rununu:
Barua pepe: ras.lindi@tamisemi.go.tz
Hati miliki ©2017 Lindi . Haki zote zimehifadhiwa.