Posted on: August 31st, 2022
Hali ya maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya UKIMWI mkoani Lindi imeonekana kuwa juu kutokana na uwiano wa takwimu za waathirika na idadi ya wakazi wa mkoa huu.
Akizungumzia kuhusu hali ya maambukiz...
Posted on: August 31st, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainabu Telackamewaomba viongozi wa dini kuisaidia Serikali kuhamasisha wananchi ili watotowote wapate huduma ya chanjo ya ugongwa hatari wa polio.
Mhe. Telack amewaomba ...
Posted on: August 30th, 2022
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa shirika la maendeleo ya petrol nchini TPDC Balozi Ombeni Sefue amewataka wananchi wa mkoa wa Lindi kuchangamkia fursa ambazo zitaambatana na mradi wa uchakataji wa...