Posted on: November 25th, 2024
Wananchi wa Mkoa wa Lindi tunakumbushwa kujitokeza katika kupiga kura siku ya Juma Tano Tarehe 27, 2024 ili kuchagua viongozi bora wa serikali za Mitaa....
Posted on: November 24th, 2024
MAPUMZIKO, SIKU YA TAREHE 27 NOVEMBA, 2024 KWA AJILI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
Tujitokeze kwenda kupiga kura kuchagua viongozi wetu wa Serikali za Mitaa.
@ortamisemi...
Posted on: November 20th, 2024
Chama kikuu cha ushirika Lindi Mwambao kimekabidhi madawati 150, Matairi ya Gari Manne na Viti mwendo viwili kwa ajilia ya kutimiza nguzo ya saba kwa kurejesha faida kwa jamii.
Akipokea vif...