Posted on: July 7th, 2025
Mkoa wa Lindi umeshiriki maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika Jijini Dar Es Salaam ambapo uzinduzi umeanza leo Julai 7, 2025 .
Karibu sana tukuhudumie kwa bidhaa bora na z...
Posted on: July 5th, 2025
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Bi. Agnes Meena amekabidhi na kuzindua Chanjo na vifaa vya utambuzi wa Mifugo Mkoa wa Lindi.
Akikabidhi na kuzindua Chanjo hizo Bi. Meena, amew...