Posted on: November 20th, 2024
Chama kikuu cha ushirika Lindi Mwambao kimekabidhi madawati 150, Matairi ya Gari Manne na Viti mwendo viwili kwa ajilia ya kutimiza nguzo ya saba kwa kurejesha faida kwa jamii.
Akipokea vif...
Posted on: November 20th, 2024
Katibu Tawala Msaidizi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi eneo la utawala Ndugu Nathalis Linuma amewataka watumishi wa umma kujenga utamaduni wa kupima afya zao mara kwa mara ili kuweza kuchukua hatua za ...
Posted on: December 20th, 2024
Uongozi wa Benki ya Ushirika Tanzania @cbtbank umeeleza dhamira ya kufungua Tawi la banki hiyo Mkoani Lindi ili kusaidia kutoa huduma kwa ufanisi kwa wanaushirika wake .
Hayo yameelezwa n...