Posted on: July 7th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack jana alhamisi tarehe 06 Julai 2023 amezindua rasmi Maonesho ya Madini na Uwekezaji.
Mhe. Telack amezindua maonesho hayo kwenye kikao cha wadau wa madini kil...
Posted on: June 24th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu Ndemanga amezitaka Asasi Zisizo za Kiserikali (AZAKI) kujenga na kudumisha Ubia na serikali kwani inatambua mchango wa Asasi hizo katika kuwezesha Maendeleo ya Nchi...
Posted on: June 23rd, 2023
Hayo yamesemwa jana tarehe 22 Juni 2023 na Mhe. Shaibu Ndemanga, Mkuu wa Wilaya ya Lindi akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Lindi katika kikao cha wadau wa Wakala ya Ufundi na Umeme, TEMESA kilichofanyika...